JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Single Post - Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha
View Single Post
Old 19th November 2008, 11:36 AM   #1
Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha
Alnadaby Alnadaby is offline 19th November 2008, 11:36 AM

Nimeshakutana na wasomi kila aina,lakini majority yao ni watu wasiokuwa na uwezo hata wa kuendesha maisha yao.Na nimeshakutana na watu wasiokuwa na elimu ya maana...lakini ni watu makini,wana uwezo wa kifedha,wanajiamini na wanaendesha shughuli zao vizuri.
Sasa labda hapa ni kutafuta sababu za hawa wasomi kuwa watu wa vitabu,data,laptop,kuendesha semina n.k lakini wakawa dhaifu inapofika suala la kutajirika,kuwa na mamlaka na kujiamini.
Mfano ni fundi viatu wa miaka ya sitini Said Salim Bakhressa maarufu kwa ice cream na bidhaa tofauti hapa nchini.AU hata Billy Gates..aliyekimbia shule akiwa grade 10...na sasa ni mmoja ya matajiri wakubwa duniani.List yao ni ndefu...kina Ford..n.k.

Je ni kitu gani cha ziada ambacho wasiokuwa na elimu ya juu...walichonacho hadi wakafanikiwa katika malengo yao,ambacho hakipatikani kwa wenye Phd..n.k?
__________________
SUCCESS USUALLY COMES TO THOSE WHO ARE TOO BUSY TO BE LOOKING FOR IT.

Alnadaby
JF Senior Expert Member
Points: 154,581, Level: 100 Points: 154,581, Level: 100 Points: 154,581, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
Join Date: Thu Sep 2006
Posts: 470
Thanks: 3
Thanked 4 Times in 3 Posts
Views: 1640
Reply With Quote