Re: Nafasi za kazi mwezi wa 11
|
Quote: |
|
 |
|
|
kama kweli unataka saidi watu wapate kazi tafuta jengo uanzishe jobcenter usisumbuwe watu hapa |
|
|
|
|
Mkuu sidhani kama hii ni kauli njema hata kidogo, kama wewe huhitaji kazi huko TGNP tulia, kuna watu wanahitaji kazi mheshimiwa...kauli yako ni kukatisha tamaa watu wenye nia njema za kuleta matangazo ya kazi hapa.....don't repeat this that comment!
__________________
“Without leaps of imagination, or dreaming, we lose the excitement of possibilities. Dreaming, after all, is a form of planning
- GLORIA STEINEM.
|