
17th November 2008, 01:59 AM
|
|
Mkandara
Aviator
JF Premium Member
|
|
Join Date: Thu Mar 2006
Location: T dot
Posts: 7,284
Thanks: 460
Thanked 725 Times in 321 Posts
Rep Power: 80
|
|
Re: Kampeni ya magazeti mapya ya karamagi & co. Dhidi ya jk
LazaroSMtindi,
|
Quote: |
 |
|
|
Magazeti hayo ambayo huchapishwa kila siku ya kazi kwa mpangilio, toka Jumatatu hadi Ijumaa, yanabeba ujumbe mahsusi wa ushawishi kwa umma kwamba: JK hana shukrani, kawatosa rafiki zake na kuwakumbatia "maadui"; Membe ni msaliti na anampotosha JK; Lowassa ni kiongozi safi na bora ambaye alionewa tu na Kamati ya Dk. Mwakyembe; bila Lowassa, Rostam, Karamagi, Makamba, Kingunge na wanamtandao wengine, JK hashindi uchaguzi wa 2010; Spika Sitta, Naibu Spika Anne Makinda na wabunge "wakorofi" wa CCM akina Anne Kilango, Mwakyembe, Selelii, Manyanya, Ole Sendeka, Kimaro, Zambi, Nkumba, Mpendazoe, Shellukindo (Bw. & Bi.), Mpesya, Ruth Msafiri na Nyalandu, ni wapinzani wa Serikali ya Awamu ya Nne. |
|
|
|
|
Hivi kuna ukweli ktk maneno uliyo andika mkuu wangu!.. Na kama kuna ukweli mkuu wangu basi haya ndio magazeti ya kufungiwa.. Kilichoandikwa hapa ni kizito kuliko hata Mwanahalisi na kinapotosha wananchi waliowachagua viongozi hawa...
Kama kweli Chiligati ni mtetezi wa haki basi maelezo hayo hapo juu yanatosha kabisa kufungia magazeti haya ama kuwapeleka mahakamani wahusika wote...Nina hakika ushahidi wa madai yao ni mgumu kupatikana kuliko ule wa gazeti la Mwanahalisi..
__________________
Exploration of reality
|