|
Quote: |
|
 |
|
|
sasa neno kudhoofisha ni sawa na kupunguza nguvu (to weaken). Mtu ambaye ni dhaifu (which is the root word ya neno dhoofu) inahusiana na hali ya kuchoka nguvu, kupungua nguvu n.k
Nilitaka tutumie lile neno "tekua" alilolisema memba hapo nyuma. |
|
|
|
|
Weaken ni katika synonyms za undermine. Tekua ni neno zuri lenye maana halisi ya undermine, ila nahofia hadhira yako kuweza kuling'amua mara moja. Kama unaandaa sheria ndogo ndogo tumia lugha rahisi iwezekanavyo.