Re: Nafasi za kazi mwezi wa 11
Kama wewe umeshiba wenzako hawajashiba bado wanahitaji mlo bado wanahitaji kuendelea kuishi zaidi kama wewe umeshafikia kimo cha maisha yako , kama umeshachoka wenzako ndio wanajiandaa na safari za maisha
kwahiyo matatizo yako usiambukize wengine
|