|
Quote: |
|
 |
|
|
Tuwe makini, sina imani na REPOA kwa baadhi ya reports na researc zake. REPOA ni 100% reporting on government issiues. sitegemei wawe wakweli sana. Lazima blabla iwepo kuifurahisha serikali ionekane inafanya juhudito combat corruption. |
|
|
|
|
|
Quote: |
|
 |
|
|
Binafsi sijawahi kuiona REPOA kuwa serious na mambo yake. It is just a group of people not serious with research outputs
These are just money hunters now trying to praise their lord for the sake of applying for more money. They are pursuing a way to be used by this Corrupt Government. |
|
|
|
|
Mheshimiwa hapo juu, hawa jamaa ni NGO na sidhani kama wanapata fedha yoyote kutoka serikalini. Hii kazi wangefanya ESRF labda ndio mtu ungekuwa na wasiwasi wa hali juu kuhusiana na malengo yao.
Unajua hawa jamaa tafiti yao ingekuwa ni fundisho kwetu.Usifikiri kila mtu ana mawazo ya kama haya yaliyosheheni jamiiforums. Tafiti hii nimeisoma mimi na ilichukua maoni ya wananchi wapiga kura halisi, na sio wapiga mbiu wenzangu wa jamiiforums waishio nje ya Tanzania au wanaogoma kupiga kura.
Pia kumbuka haya ni maoni ya mwaka 2006 kabla hili vuguvugu la vita dhidi ya ufisadi halijapamba moto kisawasawa.
Tafiti hii inatakiwa itufundishe sisi wana jamiiforum,wenye pengine taarifa zaidi kuhusiana na jinsi mambo yanavyoendeshwa, wapi pa kuelekeza nguvu zetu (i.e kwa wananchi wapiga kura!).