Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology
ila kuna mwanamama yeye klas alikua naingia mara 2 kwa semister lkn du kukamata balaa(nimemsahau kidogo nikimkumbuka nitamtaja ila alikua anafundisha research)
Anaitwa NYONI huyu mama, ni noma kwanza haingii darasani, halafu test zake multiple choice na fill in the blanks...lakini anaua vibaya....DR MESACK umenena...this man give what one deserve to get... hana bias... siku hizi faith yupo MOSES anaua... na yeye alituambia kwenye somo lake la SOCIAL WORK kwamba hakuna mtu wa kupata A mpaka yeye aache kufundisha hiyo kozi... sasa huyu mwalimu au KICHEFUCHEFU...??? jamani hii dept nasema tena MORE THAN REFORMATION vinginevyo mabinti wote watavua G-STRINGS zao bila kupenda ili kupata maksi.... kamwe mimi mdogo wangu hawezi kusoma au kufanya option ndani ya ile dept.... siku ikibidi asome pale UDSM... ITS TERRIBLE JAMANI... mimi sijui kama wenzetu mliosoma vyuo vingine mnatuelewa......halafu SEMINAR LEADERS ndio VICHOMI kabisa na wanaaribu maisha ya wengine..... kwanza system hii ni mbovu kumpa maksi 40 za course work seminar leader na kuzitumia hizi kuwatesa wanafunzi kwa kuwa tu anataka demu halafu ni domo zege. halafu semister iliyopita kulitokea kisa seminar leader mmoja wa M.A mwaka wa kwanza alibambwa akisolvia demu wake wa SECOND YEAR pepa la U.E siku mbili kabla ya pepa... lakini huwezi kuamini kwa kuwa wenzake waliomkamata wote ni wakware hili jambo lilifichwa mkuu wa dept DR MVUNGI hakulipata... jamaa anaendelea kupeta na demu wake akapiga banda... halafu demu kama huyo mwakani unamkuta nae ni seminar leader....huu si UPUMBAVU mkubwa.... kilaza kama huyu kusimamia presentation na kutoa comments hatutafika kwa hali hii.... DARUSO okoeni jahazi kwa kulisimamia hili kidete..... shule sio kubebana ni kukomaa...
[GEMBE]umepata hiyo ya nguo gani??? nataka kuona comment zako kwenye hili ili wadogo zetu wasome kwa amani na kupata kile wanachostahili kutokana na bongo zao na sio kununulia DR's pombe na wengine kuvua G-STRINGS zao wakati wameacha masela wao mtaani...kwa hali hiii ngoma haitoisha
|