Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology
FAITH bigup dada unaifahamu vizuri dept na unaonyesha kweli umesoma kwenye ile dept inayoboa kuliko EPA au RICHMOND
mimi nimepita hapo FASS japo ni miaka mingi kidogo lakini hali ni ile ile nilioiacha,
maana enzi zetu kulikua na kina MUSOKE, CHACHAGE hata MVUNGI, hawa kwa kweli walikua wakali mno lakini very fair! japo walikua wanakamata walikua wanakamata ki-haki kabisa!
kulikua na DR.MESAKI huyu namfagilia kwani alikua na utu sana yaani akiona mna MWAMI, CHACHAGE, MSOKEyeye alikua anajaribu kutowabania maks ili angalau mrudi masomo machache tu
hata DR. MASANJA ALIKUA VERY FAIR+dr.sanga, lyimo
ila kuna mwanamama yeye klas alikua naingia mara 2 kwa semister lkn du kukamata balaa(nimemsahau kidogo nikimkumbuka nitamtaja ila alikua anafundisha research)
kuna waalim kama dora hawakua wabaya
tatizo lilikua kwa MWAMIyaani ni balaa tatizo kubwa huyu dr. ni UNFAIR KABISA!
ACHUNGUZWE NA IKIBIDI UTAWALA UMCHUKULIE HATUA MAANA DEPARTMENT WANABEBANA SANA!na si kua hawalijui hilo!
nina mengi juu ya hii deprtment
ntarudi baadae
ila kwa ufupi niwafagilie
DR. SANGA-RIP
PROF CHACHAGE-RIP
DR.MESAKI
DR.COMMORO
DR.MVUNGI
DR.MASANJA
DORA
MM! KUNA THOMAS NILIMSAHAU HUYU NAE DU!SAUTI HANA KUTWA KUTOA BOOK REVIEW yaani anaact km ndo head wa department anafuata nyayo za MWAMI
BAADAE
|