Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology
Poleni sana. Sasa nimepata picha halisi. Ninachoweza kuuliza je hakubna sehemu ya kuushitakia upuuzi huu?... Mkikaa kimya pasipo kuchukua hatua watakaoumia ni ninyi na si kina Mwami wala Mvungu sijui. Kama mnavyokuwaga msitari wa mbele kudai nyongeza ya BOOM basi mfanye hivyo katika kudai elimu bora.
nguogani umefafanua vizuri huku ukionyesha kuwa una ushahidi ni wakati mzuri wa kuchukua hatua.
Hapo chuoni si kuna DARUSO inayoshughulikia academics au hakuna??
__________________
The Past is lost to you forever and the future is not yet yours. Now is the Only time you own. Use it wisely........ Maria Fontaine
|