JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Single Post - Kiini cha suplementary dept. Ya sociology
View Single Post
  #2  
Old 20th August 2008, 03:47 PM
Faith Faith is offline
Faith has no status.
Member
Points: 90,559, Level: 100 Points: 90,559, Level: 100 Points: 90,559, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Wed Jul 2008
Posts: 47
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Faith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enough
Default Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology

nakuunga mkono nguogani
ukweli ni kua pale department ya sociology waalim wapo kujisifia kufelisha! nakumbuka kipindi namaliza mm first class zilikua km 20 kwa wahitim zaidi ya 500!, upper second km30 au hamsini lakini lower second du kama jamvi yaani kibao na walimu walikua wanajifagilia kwa matokeo hayo yanayotokana na kufelisha kimakusudi!
pia ktk department hiyo ukiingia kuanza mwaka mnatishwa..waulizenu wenzenu wa miaka hiyo..mm kiboko..ntawakamata lazima nihakikishe sept mnarudi kibao for sup! tena kulikua na prof issa msoke aka ustaadh.. ilikua noma yaani sipendi hata kukumbuka
ubaya unakuja waalim wanaojifanya wanajua kukamata km MWAMI utakuta wanamadem wao wanawaacha tena ni vilaza wa kutupwa! na sio siri huwa inajulikana kbs kua demu flani ndo anachukuliwa na dr. au prof na hata mkitaka matokeo kabla mtayapata kupitia hao mademu yaani inaumiza mno
pia kwa wanaume huko sociology wenyewe utakuta wanahonga pombe kwa ma prof/ ma dr na wanapita..kwa hili MISANYA ANAJUA kichwani kitu hakuna lakini wanatoa pombe, mafuta mradi wapite na sio siri wanapita tena kwa GPA kali hadi mbabaki mkijiuliza!
maseminar leader nao balaa utakuta wao ndo wana act uprof! yaani pale sociology department panahitajika mkuu ambae ametulia na apasimamie ki umakini la sivo sup zitaendelea kuwapo na pia watoto wetu wa kike wataendelea kupata virus ili wasirudi sept/for sup!
mdau nguogani upo kweli 99.9999%
mengine baadae ila
Reply With Quote