Re: How to remove Raila Odinga virus
Mkuu Invisible,
Umenielimisha kitu kimoja muhimu sana.
Nafikiri kumekuja mtindo wa hackers kujaribu kutumia websites ambazo zimezubaa katika masuala yote muhimu ya security.
Ni vulnerability hii ndio inasababisha websites hizi zitumiwe kuweka Trojans na harmful executable worms na kuharibu computer za watu.
Sasa naona ni vizuri kwamba tunaelimishana.
Weekend njema.
__________________
"Nothing in all the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity"- Martin Luther King Jr
|