Kuna tatizo mahali fulani, nalo linahusu fedha..!! Aidha Watanzania (kama serikali) hatujui kusimamia fedha, au tunajua kutumia fedha kwa vitu visivyo vya lazima. Kwenye suala la mikataba kila siku najiuliza hivi kweli tunao watu waliosomea sheria? Kwenye haya masuala ya fedha, najiuliza hivi tunao watu waliosomea Uhasibu!?
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania"
|