Hapa kuna so many issues zinakuja kufunikwa, kuna Mahalu , kuna Rada , na miswada ya ajabu Bungeni , kuna Bunge na Kamati ya Mengi , kaeni macho wananchi . Kumbukeni wengi wa nafasi hizi akiwemo commissioner nk ni watu Mtandao na waliiwezesha CCM kutumia na kuwa hapo ilipo. JK hataki kuumaliza umaarufu kirahisi atazua jambo jipya ili kufunika jingine .Kama huamini kaa uone. Nielezeni Richmond na sasa sijui kuna watu gani . Unafiki mtupu kwamba the guy is real . Usalama wa Taifa sasa kazi ni kubuni matukio kuzima matukio.
Sina imani na Uchunguzi huo.
|