Nikiwa kama Mkazi wa Illinois na pia mwana wa Afrika Mashariki nampa hongera sana Senator Barack Obama kwa kushinda kule Iowa. Ile hotuba ya jana usiku ilikuwa superb yaani imekamilika kila idara. Kwa wale ambao hawakuiona hiyo hotuba hebu click hapo
Obama Speech